iPhone Users!

Kwa mtu ambae yuko nyuma ya ios 11 anaweza vipi copy hizo voice clips na kusave kwenye files atakazo?

Fuata njia hiyo hiyo.
Press kwenye audio husika, click forward
Click share hapo utaona app ambazo unaweza kupeleka audio yako , app nzuri kwa experience yangu ni vlc ingawa zipo nyingi tu kama document 6 , unaweza peleka kwenye notes au media files kama idownloader zinapatikana App Store.

By the way kama simu yako ina support ios 11 (kuanzia 5s na kuendelea) fanya ku update mkuu kuna features nyingi humo.
 
Wapi tena nimekutukana,mbona sioni tusi???.
Acha maluweluwe.

Hakuna sehemu nimeandika ni LAZIMA kusikukilizia whatssapp huko huko,labda ungenionyesha.
 
Inakuja mfano wa hiyo + nikiselect hapo napata kuichukua na kuanza kudownload
 
Mkuu unatumia version ipi naona niliwahi pata tatizo kama lako nilikuwa na iso7.1.2 kila nikifungua itune hakifunguki kitu

Nmetoka ku-update jana tu mkuu namaanisha jana ya jana kafulila alipoondoka CHADEMA
 
Hii ndo njia sahihi , iko organised , inatembea na account yako hata uki switch device, content zake zote ni standard , ndo worlds largest vendor of music.
Wasanii wengi wanapenda itunes maana hamna pirating.
 
Habari!

Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.

Kuna app kwenye appstore inaitwa download n kama browser ukifungua youtube video inskuletea option ya kuidownload
 
Duuh hujui tu ulivyosaidia wengi na hii comment .... nimefuata mtiririko nimeweza
 
Kwa nini nikiingia itunes inaandika "cann't connect to itunes"
Pia nitawezaje ku-apdate ios version 7.1.2 kwenda ios 9,10au 11
Msaada wakuu
 
Kwa nini nikiingia itunes inaandika "cann't connect to itunes"
Pia nitawezaje ku-apdate ios version 7.1.2 kwenda ios 9,10au 11
Msaada wakuu

Unatumia iphone ipi mkuu nikusaidie namna ya kuapdate ios 7 to 9 au 10
 
Samahani wadau kwa kuchomekea na hii shida yangu
Kwenye IPhone 8+ kuna iMessage na facetime nisha jaribu kuvitumia imeshindikana masaaada tafadhali
 
Samahani wadau kwa kuchomekea na hii shida yangu
Kwenye IPhone 8+ kuna iMessage na facetime nisha jaribu kuvitumia imeshindikana masaaada tafadhali

Unafahamu lakini kama ni mpaka uwe na mwenye iphone mwenzako,naye awe amejiunga na hizo huduma???
 
Kwa nini nikiingia itunes inaandika "cann't connect to itunes"
Pia nitawezaje ku-apdate ios version 7.1.2 kwenda ios 9,10au 11
Msaada wakuu

Nenda settings , iTunes App Store ingia hapo Badili region weka USA au nchi nyingine zinazo support iTunes purchase . Itakuja fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…