Wakuu ningependa kujua zaidi juu ya tips and tricks za iPhone ili kuweza kutumia vizuri simu
Mfano. Unaweza kudownload app ya level then ukatumia simu yako Kama pimamaji (spirit level)
Au ukatumia simu kupiga mstari ulionyooka katika karatasi bila kuhitaji ruler
Nasubiri mchango....