iPhone tatizo la mobile hotspot

Itabidi ulipie tu package mkuu kama siyo lazima tengeneza google drive diwnload app mambo mengine ya sync huko
Tumia M-Pesa Mastercard, search maelekezo yake. unaweza itumia kufanya malipo yako bila kuwa na card halisi.
 
Iphone mara nyingi/zote imekuwa na tatizo sana kwenye ishu ya hotspot, mimi ni mtumiaji/ mfuasi wa iphone lakini kila nikitaka kutumia hotspot huwa kuna tabu sana, mara mpaka ni restart mara niizime kwa muda. Kwa sasa natumia infinix kwa sababu iphone yangu iko polis ila upande wa hotspot yani ukiwasha tu inakubali hapo hapo. Ila sipendi simu zaidi ya iphone
 
Msaada jinsi ya ku-update iCloud, naambiwa imejaa napaswa kulipia kuna package za 1900/- kwa mwezi and so.... hebu nisaidieni namna ya kufanya malipo.

Sina Creditcard et al.

cc: elmagnifico

Kama unatumia voda ni rahisi, kuna Mpesa Mastercard. Mimi natumia hiyo kulipia icloud
 
Nimetokea kuzichukia iPhone sijui kwa nn maana ya kwangu imezngua na ni mpya haina hata wiki...mara inaandka emergence call ..sasa imezma naichaji hata haionyeshi kama inapeleka chaj ipo ukiishika kwa pemben kama iko chaji kunatokea shoti . Yaaan sna ham nayo kbsa. Bora tu niendlee ktumia infinix
 

Mi simu yangu haitaki kuonyesha battery health ipo asilimia ngapi nawezaje Kufic tatizo hilo
 

Mkuu mimi simu yangu battery health inashindwa kuonyesha ipo asilimia ngapi
 
[emoji28][emoji28][emoji28]wewe tumeshamaliza kule kwenye uzi wako,ile simu ni fafa aka bashite.

Kwahiyo case yako imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…