iPhone tatizo la mobile hotspot

Shimaje

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
86
Reaction score
47
Habari za muda huu wana jamvi, msaada tutani.

Natumia iphone 6+ tatizo lake nikiweka SIM card tofauti na Tigo (kwa mfano Halotel, TTCL) haitaki kuwasha mobile hotspot lakini kwa line ya Tigo tu ndo inawasha hotspot.

Msaada kwa anaeweza nielekeza jinsi ya kufix hii tatizo.
 
Mwenyewe nilikushakuwa nayo ilikuwa na tatizo hilo pia.

Sikuwahi kupata suluhisho la moja kwa moja.
 
Mimi nikiweka Voda inakubali hotspot
Nimeweka TTCL imekataa hiyo hapa nawaza Samsung tu
 
weka screenshot za sehemu ulipoweka "internet" hapo kisha screenshot za sehemu ya hotspot ikiwa imegoma


Si unaona hapo personal hotspot inazunguka tu inasema nimcontact carrier
Nikiweka line ya voda inakubali lo
 
Msaada jinsi ya ku-update iCloud, naambiwa imejaa napaswa kulipia kuna package za 1900/- kwa mwezi and so, hebu nisaidieni namna ya kufanya malipo.

Sina Creditcard et al.

cc: elmagnifico
 
View attachment 1237011
Si unaona hapo personal hotspot inazunguka tu inasema nimcontact carrier
Nikiweka line ya voda inakubali lo

Umefuata ushauri wa Elmagnifico? Alichosema ndio solution. In Settings>Mobile Data>Mobile Data Network> Chini kuna sehemu imeandikwa Personal Hotspot. Kwenye APN weka "internet" kisha rudi back hotspot will be available. kama umefanya hivyo weka screenshot ukiwa umeweka internet kwenye APN
 

Yeaaah imekubaliii
 
Mwenyewe nilikushakuwa nayo ilikuwa na tatizo hilo pia.

Sikuwahi kupata suluhisho la moja kwa moja.
Kila laini kwenye iPhone ina setting zake za intertnet zinazojitegemea, hivyo basi kila laini itahitaji configuration zake ukitaka kutumia internet au hotspot. Kutengeneza hotspot ya laini nyingine fanya hivi
1.Fungua settings na click sehemu ya "Mobile Data"
2.Baada ya hapo utaona sehemu ya carrier click "Mobile Data Network"
3.Scroll down na utaona sehemu ya "Personal Hotspot" edit sehemu ya APN andika internet
4.Rudi nyuma kwenye settings utaona Personal Hotspot badilisha password ya wi-fi utakayopenda kutumia (by default kuna password ambayo utahitaji kuiangalia ili kutumia)
 
Pancras Suday he mentioned it being solved
 
Mm nimeshaiqweka ndani nimerudi kwenye sumsung
 
Msaada jinsi ya ku-update iCloud, naambiwa imejaa napaswa kulipia kuna package za 1900/- kwa mwezi and so.... hebu nisaidieni namna ya kufanya malipo.

Sina Creditcard et al.

cc: elmagnifico
Tumia M-Pesa Mastercard, search maelekezo yake. unaweza itumia kufanya malipo yako bila kuwa na card halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…