nimekwenda kufunguliwa imegoma ww unaweza kama liko ndan ya uwezo wako call me 0712 888665
mmmhh mm nnayo 6+ hpa iko na I cloud
Nafurahi sana kuona iphone wameweka security nzuri kwenye simu tofauti na android, dawa ya shida yako mrudishie mwenye nayo. Next time ukanunue dukani.nimekwenda kufunguliwa imegoma ww unaweza kama liko ndan ya uwezo wako call me 0712 888665
Na nnaomba mungu wasipate ufumbuzi kabisa, na nna waombea Mungu watengenezaji wa iphone wakomae na swala la security hivyo hivyo!!haliwezekan kma aly kuuzia unamfaham n yake mtafte akutolee kama uliuziwa ya kitaa itunze mpka tutakap skia watalam wamepata uvumbuz wa hli swala la i cloud tofaut na hapo kuna wadau wana nunua humu kama spea kwa ajil ya matengenezo ya simu za iphone watakutafuta
Wamesema hauiwezekani, na haiwezekaniki!! tafuta aliyekupa simu akupe password.wapi naweza unlock iphone 4 iliyofungwa kwa network za canada wazee
kumekuwa na post nying kuhusiana na iphone, uzi huu n maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. tupi maswal ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine
HADI MDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPEL wataalamu karibun
mmmhh mm nnayo 6+ hpa iko na I cloud
Being za iPad air 2 zinaendaje kwa hapa DSM wakuu.
Naweza kuzipata duka lililo maeneo gain??
Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.
Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.
Ma ITs bado tunahangaika kupata ufumbuzi
Nothing possible under the sun,