Bila shaka hiyo simu ni yako:baada ya kukaa muda sasa naona bora nilipia iwe waifungue simu yangu sasa jinsi ya kulipia izo ela ndio sifahamu msaada wadau na nikiasi gani naweza lipia
baada ya kukaa muda sasa naona bora nilipia iwe waifungue simu yangu sasa jinsi ya kulipia izo ela ndio sifahamu msaada wadau na nikiasi gani naweza lipia
Bila shaka hiyo simu ni yako:
Kama (1) na (2) hapo juu ni sahihi, ondoa shaka inawezekana weka hizo taarifa mbili nikupe bei kwenye hii link: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...51-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html
- Umesahau iCloud password
- Ila una (a) Email husika- iliyotumika kufanyia activation simu yako (b) IMEI number (c) find my phone/ Lost mode ziko OFF
Ila iwapo (1) & (2) siyo sahihi basi hiyo simu haiwezekani, waweza kuwapa watoto wachezee kwa sasa
Karibu
Mimi nina ipad yangu ina hizo number email ya icloud sina
unapatikana wap?
Kigger utamaliza pesa yako bure hiyo kitu huwezi kupata hao hawawezi kutoa icloud lock utawatumia hiyo pesa na mwisho wa siku utabaki na tatizo lako,kama ni simu yako halali mwombe huyo aliyekuuzia aitoe hiyo icloud lock basi,ila kama ni ya magumashi basi wewe ni Mfungwa mtarajiwa.kwa maelezo zaidi tafuta kwenye jukwaa hili kuna UZI unasema IPHONE 4S IMEIBIWA soma topic zote ndo utajua sasa kwa nini nimekwambia wewe ni MFUNGWA MTARAJIWA.
Tatizo watanzania wengi wanapenda kudanganywa ukiwaambia ukweli wanakuchukiaWaisrael wanafungua kama kawa.
Wacha tujaribu huko.
Na kama ukweli unaoujua ni half baked lazima wakuchukie mkuu. Sio watanzania tu. Hata huku kwetu Uganda wapoTatizo watanzania wengi wanapenda kudanganywa ukiwaambia ukweli wanakuchukia
Kama ni hivyo basi UJINGA kama huu wa kukataa ukweli na kukumbatia UONGO basi uko Afrika tu.Na ni UJINGA kujisifia kwa UJINGA,Na kama ukweli unaoujua ni half baked lazima wakuchukie mkuu. Sio watanzania tu. Hata huku kwetu Uganda wapo