sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 138
Nimepoteza cm yangu asubuhi ya leo, naweza vp kui track au ku block?
Unaishi wapi mkuu?
Nimepoteza cm yangu asubuhi ya leo, naweza vp kui track au ku block?
Sema ajaribu bahati yake ukute alieiokota hajui hayo mautundu mzee...sahau tu mkuu, wajanja wanai tenganisha kupata spare na kuwauzia mafundi simu
Sema ajaribu bahati yake ukute alieiokota hajui hayo mautundu mzee...
Umepoteza iPhone model ipi?Nimepoteza cm yangu asubuhi ya leo, naweza vp kui track au ku block?