CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,675
- 1,060
Wewe uko wapi mkuu? I cloud inatoka amini nakuambia nimeshafungua zaidi ya moja. nikalipia baada ya kazi. ilichukua 24hrs tu.Acha uongo mkuu, kuna wafanyakazi wengine wa Apple hata hawajui icloud inatolewaje sembuse we
Wanachotaka ni picha ya icloud, country code ya nchi, na ile lost. wakishafungua wankupigia na wanataka hela zao. Mimi walinisumbua sana maana walizifungua siku ya jpili na sikuwa na simu. wakanipigia waksema nifanye actiovation nikawaambia leo ni jpili na sina hizo simu hapa, so kesho yake ndio nikafanya activation na kuwalipa. juzi nikawatumia zingine mbili ila wakawa wameongeze bei kidogo ongezeko la dola $15. wewe kama unabisha usinilipe nipe tu screen short na kuwe na uhakika wa kunilipa baada ya kazi.