daimonkundide
New Member
- Oct 2, 2015
- 4
- 0
guys anyeweza kuremove icloud na kuondoa ile find my phone na kuunlock cm itumie mitandao yote...pliz niasaidie...naombeni msaada wenu......nina iphone 5s na 6+ apa...
guys anyeweza kuremove icloud na kuondoa ile find my phone na kuunlock cm itumie mitandao yote...pliz niasaidie...naombeni msaada wenu......nina iphone 5s na 6+ apa...
Kama Ku Unlock itumie mitandao ya Bongo Utaweza ila kama iCloud hiyo simu ni ya wizi na Kamwe hakuna Fundi anaweza kuzitoa Duniani.
nipigie kwenye 0774425067 mie nazitoa ila hela yake ni ndefu na nipo zanzibar.guys anyeweza kuremove icloud na kuondoa ile find my phone na kuunlock cm itumie mitandao yote...pliz niasaidie...naombeni msaada wenu......nina iphone 5s na 6+ apa...
nothing is impossible under the sun bro. sema 2 hiyo technology bado haijafika africa ila kwa wenze2 mbele wanakuondollea hyo icloud na cmu una2mia kama kawaida...........
nipigie kwenye 0774425067 mie nazitoa ila hela yake ni ndefu na nipo zanzibar.
Icloud inatoka. Nimeshatoa sana. Ila nashangaa ikiwa lost ndio rahisi na faster kuliko clean. Na ninapotolea Mimi ni unalipa baada ya kazi.
Icloud inatoka. Nimeshatoa sana. Ila nashangaa ikiwa lost ndio rahisi na faster kuliko clean. Na ninapotolea Mimi ni unalipa baada ya kazi.
Acha kumpa mwenzio matumaini, hata huko ulaya hakuna kitu kama hicho, Apple kila siku ya Mungu wanafix security holes kibaya zaidi icloud mpaka ufanye hacking za Apple databasenothing is impossible under the sun bro. sema 2 hiyo technology bado haijafika africa ila kwa wenze2 mbele wanakuondollea hyo icloud na cmu una2mia kama kawaida...........
Icloud inatoka. Nimeshatoa sana. Ila nashangaa ikiwa lost ndio rahisi na faster kuliko clean. Na ninapotolea Mimi ni unalipa baada ya kazi.