Iphone 7 plus 128 gb rangi:gold au silver

Iphone 7 plus 128 gb rangi:gold au silver

mekumeti

Senior Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
130
Reaction score
39
Nahitaji iphone 7 plus 128 gb nataka mpya (sealed) nina 1,500,000/= cash
 
Et mpya ,128gb,iphone 7plus kwa 1,500,000 duh?acha kufosi maisha ya juu wakati huna kitu.
 
Huna kitu ? ningehitaji iphone 7 utawajuwa tu wanaotumia note 1 pambana na hali yako
 
Huna kitu ? ningehitaji iphone 7 utawajuwa tu wanaotumia note 1 pambana na hali yako
Toka lini iphone 7 plus 128 gb tena mpya ikauzwa 1500000?unafikiri iphone kama samsung?ndio maana nakwambia acha kufosi
 
Back
Top Bottom