elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Kesho siku ya Jumatano?Hatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo kesho (siku ya jumatano).
Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone litaondolewa iwe inatumia earphone zenye kuingia sehemu ya charger.
Source: bbc swahili
Ni leo mkuu ngoja nirekebisheKesho siku ya Jumatano?
Kesho siyo jumatano Magufuli legeza uzi kidogoHatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo leo (siku ya jumatano).
Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone litaondolewa iwe inatumia earphone zenye kuingia sehemu ya charger.
Source: bbc swahili
Cheza na akili za watu fanya bishara you change "is" and put "was"Hatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo leo (siku ya jumatano).
Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone litaondolewa iwe inatumia earphone zenye kuingia sehemu ya charger.
Source: bbc swahili
Mkuuu umenichekesha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kesho siyo jumatano Magufuli legeza uzi kidogo
Utashangaa anazindua simu mbili 7 na 7s hujakaa vizuri mwezi wa 11 natoa 7SEhawa watakuja kuwa kama samsung tu;
mara S2, S4, S5, S
HAHAHA; maisha yanaenda kazi sanaUtashangaa anazindua simu mbili 7 na 7s hujakaa vizuri mwezi wa 11 natoa 7SE
boss wa hii kampuni bwana cook ni shoga