kumteme
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 282
- 162
- Thread starter
- #21
Kinachoshangaza: Kama apple ID siyo yako, na simu ni yako unashindwa nini kubadilisha iwe yako?????????????????????? Na unapo-download vitu na kufanya mambo mengine ambayo unaulizwa ID na password, huwa unafanyaje?
Mkuu nadhan ww sio mtumiaji wa iPhone.. skia kweye iPhone kuna vitu vitatu navyo ni Apple ID,iCloud na iTunes & App Store vyote hivyo ukiamua unatumia majina tofauti mm nilisahau Apple ID tu nayo haina shida coz cm unatumia tu vizuri bila shida yeyote ile na kama unataka nakupeleka wanapotoa hiyo apple id then tutapunguziana kwenye bei..