iPhone 6s Plus Gb 16 inauzwa

iPhone 6s Plus Gb 16 inauzwa

kumteme

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
282
Reaction score
162
Wakuu nina iPhone 6s Plus ninaiuza but appe id ni y mtu mwingine alisahau password kama hutojari njoo inbox bei 550k
 
Haiwezekan kurekebisha hiyo user id màana ukikamatwa kosa ni kosa la unyang'anyi jela nje nje

Unalekebish mkuu kariakoo pale china plaza wapo mafundi kibao wanatoa hiyo Apple ID
 
Itoe kwanza hiyo ID ndo uuze hiyo bei...!!

Wizii tuu
 
Itoe kwanza hiyo ID ndo uuze hiyo bei...!!

Wizii tuu

Sio wizi mkuu hii simu ni yangu kabsa. fika bei nikuuzie haina tatizo lolote ni hiyo tu Apple ID ya mtu mwingine alisahau password
 
Sio wizi mkuu hii simu ni yangu kabsa. fika bei nikuuzie haina tatizo lolote ni hiyo tu Apple ID ya mtu mwingine alisahau password
Wewe ni mwizi au unauza mali ya wizi. Kusahau password kama simu ni yako halali mbona kubadilisha ni rahisi sana. Kuna mama mmoja alinyangannywa simu iphone wiki iliyopita baada ya kushikiwa kisu. Ngoja nifanye connection naye amtume mtu akaiangalie.
 
Mkuu Acha mikwara ya kishamba hii cm ni yangu. na ndio ninayoitumia hapa. siwezi kuuza kitu cha wizi madhara yake ni makubwa sana. ww kama unaitaka njoo nikuuzie bei 550k but maelewano yapo tatizo ni hilo tu apple id sio yangu ila vitu vyote iko poa kabisa...
 
Kama ndivyo ,nakushauri ubadili kwanza hiyo icloud id kwa jina lako alafu ndo utafute soko.Vinginevyo........!!sijui[/ Sawa mkuu nitafanya hivyo then nitarud tena jukwaan kutafuta soko..
Sawa mkuu nitafanya hivyo then nitarudi tena jukwaani kutafuta soko
 
Mkuu Acha mikwara ya kishamba hii cm ni yangu. na ndio ninayoitumia hapa. siwezi kuuza kitu cha wizi madhara yake ni makubwa sana. ww kama unaitaka njoo nikuuzie bei 550k but maelewano yapo tatizo ni hilo tu apple id sio yangu ila vitu vyote iko poa kabisa...
Kinachoshangaza: Kama apple ID siyo yako, na simu ni yako unashindwa nini kubadilisha iwe yako?????????????????????? Na unapo-download vitu na kufanya mambo mengine ambayo unaulizwa ID na password, huwa unafanyaje?
 
Yaani ninunue calculator kwa sh 550,000/=

Samahani mkuu unajua maana ya Apple ID? tuanzie hapo kwanza.. nisije nikabishana na mtu anae tumia itel. hajui nn maana y Apple ID.
 
Back
Top Bottom