Umeinunua shilingi ngapi? Umeitumia muda gani?Habari zenu wakuu mlio ktk uhalisia wa maisha ya Bongo...
Ninatarajia kuiuza simu tajwa hapo juu ila naomba mnijuze niiuze kwa bei gani kutokana na hali halisi halisia ya uchumi wa Bongo.View attachment 449537 View attachment 449538 View attachment 449539 View attachment 449540
Chaja ina kasoro kidogo sehemu ya juu ambayo haiathiri ufanisi wake ktk kuchaji.
Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.Umeinunua shilingi ngapi? Umeitumia muda gani?
[emoji15][emoji15]Tubadilishsne ...nikupe mke wangu unipe iphone
Hapo uza laki sita mpaka tisa.Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.
Mkuu acha utani bwana...yaani mtu ana simu zake binafsi ambazo zipo mfukoni mwa suruali yake halafu zifanywe kuwa chanzo cha mapata ya nchi!Hapo uza laki sita mpaka tisa.
Ila consider kua wewe huna haja nayo kwa sasa halafu airport Tz wameanza kuchukua ushuru hata kwa vitu kama hivyo.
Wewe uko wapi kwa sasa?Huku nilipo inauzwa 7,990 SEK (1 SEK = 235Tsh) so ikiwa mpya ni kama 1,877,000. Ila mi niliinunua used (ilikuwa imetumika kwa mwaka mmoja) na toka nilipoinunua haina miezi 6. But now ninayo simu nyingine...so kukaa na simu mbili kubwa naona usumbufu.
Kwa hapo utakua umesave ikikutwa kwenye box huku umeweka kwenye sanduku wana weweMkuu acha utani bwana...yaani mtu ana simu zake binafsi ambazo zipo mfukoni mwa suruali yake halafu zifanywe kuwa chanzo cha mapata ya nchi!
Kuna mtu ataondoka huko tareh 4/1/17 vipi nimwambie akupe $200?Sweden