iPhone 6 plus

iPhone 6 plus

Acha kukurupuka, ukiwa kwenye mitandao usihisi kila mtu ni kama wewe......

Na katafute basi uibe ili uwe na kopo la iphone

Problem solved at last mke wangu amekumbuka password yake.
Next time tumia akili kufikiri, kwa kuwa wewe ni kibaka unahisi kila mtu ni kibaka?

Mkuu hauna haja ya kumtukana aisee, huo ndio ukwel unapo reset lazima uweke password sasa ulifanikiwa vp kureset km hauna password? Wewe ni liongo tena kikubwa hiyo simu ni ya uwizi, narudia tena ulifanyaje reset bila password? Utachomwa moto kwa tabia ya uongo na uwizi, Haya msalimie mkoe mpe zawadi ya kukutunzia password.
 
hahahahahhahah Sawa Mkuuu daah Patamuu apo...Ni sawa na kuingia geto kupitiaa mlangoni alafu mwisho wa siku umadai mlango huuoni sasa unataka kutokea dirishani''
 
So dangerous asee next time unaweza kufungwa asee Apple products are so delicate:check na mimi japo itakugharimu kiongozi +255785777962
 
So dangerous asee next time unaweza kufungwa asee Apple products are so delicate:check na mimi japo itakugharimu kiongozi +255785777962

We nawe ni litapeli mbona husomi hapo juu unakuja unaandika linamba lako la simu Mtato
 
Acha hasira Jerrytz au (J J Mwas..........) maliza kwanza kesi yako na serikali juu ya ubadhilifu uliofanya TRA kabla ya kupelekwa hazina.
Ni waz kuwa we si mwizi wa mfukoni ila hela ya serikali yetu umekula sana kwa msaada wa baba mkwe wako.

usikatae kuwa ni mwizi rekodi yako pale TRA inaonyesha hivyo.

Nyie ndio vijana mliosoma kwa hela ya serikali na sasa mnaimaliza hii serikali, machungu yako juu ya rushwa yapo wapi kama ilivyokuwa pale UDSM miaka ya 2000's .....
 
Mkuu,
Huwa situmii vya wizi, hii niliinunua wakati huo safari za nje zilikuwa hazijasitishwa, so pole kwa kupoteza simu yako.
Na bahati nzuri wife amekumbuka password yake, so tatizo limeeisha.

Unajisifu kuwa ulikuwa unasafiri sana sio, kumbuka zile gari na nyumba serikali itavibeba, Acha hasira Jerrytz au (J J Mwas..........) maliza kwanza kesi yako na serikali juu ya ubadhilifu uliofanya TRA kabla ya kupelekwa hazina.
Ni waz kuwa we si mwizi wa mfukoni ila hela ya serikali yetu umekula sana kwa msaada wa baba mkwe wako.

usikatae kuwa ni mwizi rekodi yako pale TRA inaonyesha hivyo.

Nyie ndio vijana mliosoma kwa hela ya serikali na sasa mnaimaliza hii serikali, machungu yako juu ya rushwa yapo wapi kama ilivyokuwa pale UDSM miaka ya 2000's .....
 
Mkuu hauna haja ya kumtukana aisee, huo ndio ukwel unapo reset lazima uweke password sasa ulifanikiwa vp kureset km hauna password? Wewe ni liongo tena kikubwa hiyo simu ni ya uwizi, narudia tena ulifanyaje reset bila password? Utachomwa moto kwa tabia ya uongo na uwizi, Haya msalimie mkoe mpe zawadi ya kukutunzia password.

Sio kuchomwa, huyu atafungwa na serikali ingekuwa china angepigwa risasi ila hapa atahamishwa idara na wizara, kapiga sana huyu dogo pale tra, sasa amepelekwa hazina hajui kuwa tuna files zake, amejaa dharau kwa kuwa tu ana vijisent vya kuiba.ila kwa serikali hii mwisho wake umefika
 
Wadau,

nina tatizo, jana ''nili-restore to factory settings'' iPhone 6 plus, nilimaliza wakati nafanya set up ikahitaji password ya account ya iCloud, kwa kweli mwenye simu hakumbuki password na mpaka sasa sijui tufanyaje.
Tumepitia mitandao mbalimbali ikiwemo apple.com na kwa kweli njia pekee ya kufanya hii simu kutumika tena ni kukumbuka password ya iCloud maana ilisetiwa kwa ajili ya security iwapo ingepotea ''find my iphone''.
Wadau kuna namna nyingine ya kufanya maana nimejaribu kutumia apps za ku-bypass icloud account lakini sipati functions zote za simu.

Msaada na ushauri wako ni wa maana sana.

Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.

Swali langu ni ile simu ambayo imekuwa iCloud locked uki update kwa kutumia iTunes pale muda wa ku activate inagoma kuendelea mpaka utoea 'lock'

Kuna mtu aliyeafanikiwa ku bypass hiyo lock. (Kama ku hack)?

Natoa icloud permanent kupitia server kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Pia nazinunua zikiwa na acloud hivo hivo kama mtu anauza

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.
 
Tatizo langu lilishapata ufumbuzi mkuu
 
Baada ya watu kumshammbulia jamaa amegeuza ghafla na kusema now it works my wife wake kakumbuka password? humu ndani kuna vituko. haya ndugu mshukuru "wife" kwa kukumbuka.ila akisahau tena nitakwambia nani anaweza kuishugulikia hiyo kitu unamlipa baada ya kuwa amemamliza kukupatia password not before. ila usiogope changamoto za humu ndani maana usikimbie hoja kiurahisi baada ya kuona wadau wanakugonga kila kona. ndo wanakukomaza.
 
Back
Top Bottom