Robert_Carlos
Member
- Aug 2, 2018
- 16
- 3
Ivi kwa Tanzania [emoji1241] unaitoa vipi iPhone 6 icloud activation
Nikuletee umpelekee mwenyewe maana imeokotwaKwa kumrudishia mwenye nayo aifungue.
Haiwezekani kuito icloud isiyo yako...Ivi kwa Tanzania [emoji1241] unaitoa vipi iPhone 6 icloud activationView attachment 825893View attachment 825900
UmeniwahiKwa kumrudishia mwenye nayo aifungue.
[emoji16][emoji16][emoji16]wamekuwahiAu yangu?? Maana wahuni wamenichania wavu juz wameruka na ka iphone kangu
Sitakuwa na huruma nikikuta mwizi amekamatwa sehemu akipokea kichapo ndio kwanza na mm nitamchangia, maana walinipa stress ikabidi nigide ma-valeur mpaka uso unakufa ganzi siku 3 mfululizo[emoji16][emoji16][emoji16]wamekuwahi
Jomba me naweza mla nyama nimenunua Microsoft 1025 nimetumia siku 4 nimeweka chaji mezani naamka asubuhi imebaki changer tu[emoji24]Sitakuwa na huruma nikikuta mwizi amekamatwa sehemu akipokea kichapo ndio kwanza na mm nitamchangia, maana walinipa stress ikabidi nigide ma-valeur mpaka uso unakufa ganzi siku 3 mfululizo
Wazo zuri ngoja niuze spareuza spareparts
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sanaJomba me naweza mla nyama nimenunua Microsoft 1025 nimetumia siku 4 nimeweka chaji mezani naamka asubuhi imebaki changer tu[emoji24]
Umuue mwizi kisa simu ya 1M?Sitakuwa na huruma nikikuta mwizi amekamatwa sehemu akipokea kichapo ndio kwanza na mm nitamchangia, maana walinipa stress ikabidi nigide ma-valeur mpaka uso unakufa ganzi siku 3 mfululizo
Simu ya 1Mil, lakini content yake ni priceless, vitu ambavyo very personal to me, halafu na vile wabongo tuna skimp kununua extra storage icloud ndio majuto, btw mwizi ni mwizi tu aibe kijiko aibe ndege.Umuue mwizi kisa simu ya 1M?
Si ukauwe wezi wa escrow, richmond na epa wanao iba mabilioni?
Kweli kaiba, lkn hukumu sio kifo, kifo ni mbali sanaaa.
Hii simu ulifanikiwa kuifungua? je ina ios 11.1-11.2, je ina 2FA. Kama ndiyo ninaweza kuifungua lakini sikupi 100% uhakikaIvi kwa Tanzania [emoji1241] unaitoa vipi iPhone 6 icloud activationView attachment 825893View attachment 825900