iPhone 5S

iPhone 5S

Mnandi

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
156
Reaction score
26
habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au unaweza kuagiza kutoka nje kwa bei nzuri tafadhali tuwasiliane ASAP kupitia 0783115545..

M_Id_423653_Apple_iPhone_5S.jpg
 
Nenda Ellite computers au Istore ipo Mlimani City Dar es Salaam. Kama upo njinjo naomba ukubali tuendelee na vitochi vyetu
 
Hekimatele nipatie number yako basi, tuwasiliane 0783115545,,
 
Vodashop niliuliza inauzwa tshs 1.7m pale mlimani city
 
habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au unaweza kuagiza kutoka nje kwa bei nzuri tafadhali tuwasiliane ASAP kupitia 0783115545..

M_Id_423653_Apple_iPhone_5S.jpg

Nina 5 ina 64GB unataka? 1.4
 
Back
Top Bottom