Iphone 5s imefungwa kwenye icloud

Uliza watu wakusaidie kuweka ulinzi shirikishi
 

Simu yako ilikuwa iOS version gani? ikishakuwa reported ntolee.
 
inatoka kama sio reported kwa 120usd unalipia baada ya kutokaa. ikitoka naibadilisha inachukuwa siku 1-8
 
Mpe mtoto achezee hsiwezekani
 
Yaani iCloud mbili kwenye Simu moja ?!!!! Kaka unatumia mchina seriously
ilikuwa na id ya mtu mwingine na ndo maana nikasema asubiri update hapo atakuwa na access ya kuongeza icloud acc nyngine simu zina access ya accounts zaidi ya moja
mie c mtaalamu but I did that and am proud of that,
 
Maelezo yake bado ayajitoshelezi maana uwezi fanya upgrade bila kujua password ya ID cloud iliyopokwenye Simu,
Nachoweza sema Huyu alipewa simu FIND MY PHONE ikiwa OFF ndio maana aliweza fanya hayo Na ndio maana anadhani unaweza fanya hivyo pia ikiwa ON, Hakuna shortcut ya kutoa Find my phone bila password
Hata wanaosema wameweza toa hiyo iCloud lock ni Kwa sababu hawakujua Kama FIND MY PHONE iko ON or OFF maana unaletewa simu ambayo sio functional Na uwezi jua Kama FIND MY PHONE iko on or off maana uwezi fika kwenye setting Kwa simu yenye tatizo ilo
 
Uwezo was kujua kama I cloud IPO on au off upo unachotakiwa no kujua imei no take tu. Then SMS hiyo imei kwangu andika kwenye SMS check on or of mbele yake andika hizo imei 0715387545
 

ngoja niangalie uwezekano wa ku unlock hizi simu maana nikiweza nitatajirika!
 

Hiyo haikuwa locked , lost mode unapataje updates ? I cloud can't be removed
 

4s sawa lakinj sio 5 na latest designs
 
Baada ya siku mbili kuanzia leo hii nitakuja na ukweli kabisa kuhusu uzuri wa ICLOUD maana nimeibiwa siphone yangu na sasa hivi niko mbioni kuifuatilia iliko,hivyo STAY-TURNED nikiipata nitakuja hapahapa kuelezea umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ