IPhone 5

IPhone 5

mimi nna tecno werevaa maisha yangu yote.
na ikiibiwa hii basi ndo narudi analog
Ha ha ha ha ha Hata Mimi sasa hivo Niko tecno wereve shoga angu. Toka niibiwe Ka s5 kangu mtaa wa sina hamu. Nimebaki na tecno wereva c8 Hata wakitaka kuiiba waiibe tu,lakini nilivyo makini nayo. Toka niibiwe nimeacha upuuzi wa kutokuwa makini na mkoba wangu
 
Sio kwa relato huyo ninae mjua Mimi. Yeye na iPhone ni habari mbili tofauti. Kuna kipindi alipewaga iPhone 4s,ha ha ha ha alikaa nayo wiki tu akairudisha haitaki akapewaga s5. Na Ndio Maana wakakukomesha pale mtaa wa Kongo. Ulikuwa unanitesaga we mpuuzi wewe na Ka s5 kako. Sasa hivi sote tuko kwenye tecno wereva
Hivi unajua Nina wasiwasi na wewe usijekuwa mchawi tu. Unafurahiaje mm kutiwa umasikini??? na nilikukomeshaga kweli kweli.kumbe nilikuwa inachoma eeeh
 
Ha ha ha ha ha Hata Mimi sasa hivo Niko tecno wereve shoga angu. Toka niibiwe Ka s5 kangu mtaa wa sina hamu. Nimebaki na tecno wereva c8 Hata wakitaka kuiiba waiibe tu,lakini nilivyo makini nayo. Toka niibiwe nimeacha upuuzi wa kutokuwa makini na mkoba wangu
Tecno sim poa sana kwa matunizi ya kawaida nimetumua w5 kwa week moja nilipenda battery na iko fastet tu kwa matumizi ya daily
 
Wereva nzuri inakaa na chaji. Unlike Samsung is my loyal brand but wanakera chaji hamna kitu
 
Ha ha ha ha ha Hata Mimi sasa hivo Niko tecno wereve shoga angu. Toka niibiwe Ka s5 kangu mtaa wa sina hamu. Nimebaki na tecno wereva c8 Hata wakitaka kuiiba waiibe tu,lakini nilivyo makini nayo. Toka niibiwe nimeacha upuuzi wa kutokuwa makini na mkoba wangu
mimi mpaka ziwa linataka kupata kutu nnavolijaza hel/simu
wakiiba hii basi tena.
nna miaka mi2 sijawahi kulala na cm kitandani, maana dirisha lina chapa ya kibox cha wezi
 
Sio kwa relato huyo ninae mjua Mimi. Yeye na iPhone ni habari mbili tofauti. Kuna kipindi alipewaga iPhone 4s,ha ha ha ha alikaa nayo wiki tu akairudisha haitaki akapewaga s5. Na Ndio Maana wakakukomesha pale mtaa wa Kongo. Ulikuwa unanitesaga we mpuuzi wewe na Ka s5 kako. Sasa hivi sote tuko kwenye tecno wereva
Wereva woyee
 
Kwa wale wanaopenda ku piga selfie Itel S31 ndo mwisho wa matatzo hata iphone ikasome anayehitaj anipm n mpya kabisa unapewa ndan ya box
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom