IPhone 5

Elias mwasibu

Member
Dec 19, 2016
83
29
Natafuta cm module iPhone 5 iwe good condition location mwanza mwenye nayo call +255753358283 bei tutaelewana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nakushauri ununue 5s maana simu za iphone zenye processors za 32 bits soon apple ataacha zipa support ikiwa ina maana applications nyingi zitaanza kosa updates mwisho hutozipata
Hakika hilo sikatai mkuu saiv 4 haifanyi kaz baadhi ya app et had youtube na mpk Facebook messenger duihh
 
hizi simu ntaishia kuzisoma humu tu
umaskini mbaya sana
Tupo wengi. But mmmh. Sijui kwanini sinaga hamu nazo wala sizitamani. Mimi loyal brand yangu ni Samsung tu.
Nazitamanigi Sana latest brands zao. Ila Ndio apeche alolo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tupo wengi. But mmmh. Sijui kwanini sinaga hamu nazo wala sizitamani. Mimi loyal brand yangu ni Samsung tu.
Nazitamanigi Sana latest brands zao. Ila Ndio apeche alolo
mimi nna tecno werevaa maisha yangu yote.
na ikiibiwa hii basi ndo narudi analog
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tupo wengi. But mmmh. Sijui kwanini sinaga hamu nazo wala sizitamani. Mimi loyal brand yangu ni Samsung tu.
Nazitamanigi Sana latest brands zao. Ila Ndio apeche alolo
Siku ukitumia iphone itakuboa kama siku tatu au week ukiizoea utakuwa addicted to it hutotaka tumia simu nyingine

Same applied to laptops zao ukitumia laptop zao os yao ukaizoea hutopenda rudi windows.
 
Sio kwa relato huyo ninae mjua Mimi. Yeye na iPhone ni habari mbili tofauti. Kuna kipindi alipewaga iPhone 4s,ha ha ha ha alikaa nayo wiki tu akairudisha haitaki akapewaga s5. Na Ndio Maana wakakukomesha pale mtaa wa Kongo. Ulikuwa unanitesaga we mpuuzi wewe na Ka s5 kako. Sasa hivi sote tuko kwenye tecno wereva
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom