ASA we ulitaka ile supu?
I have iphone 5, inakula charge ndani ya muda mfupi sana inakuwa imeisha.
Kwa wale wenye iphone, mnatumia njia gani kuweka simu yako ikae na charge muda mrefu?
Pia, hapa Tanzania kuna genius bar wanaoweza kufungua na kuifanyia service iphone ikimaanisha kuifungua na kubadilisha battery??
Nawasilisha
Mkuu tunashukuru kwa maelezo ila sijaelewa una close vipi program zinazorun kwenye iphone 5?
Mkuu tunashukuru kwa maelezo ila sijaelewa una close vipi program zinazorun kwenye iphone 5?
Kwenye home button, double click, zitakuja applications zote zinazorun background, utazifunga kwa kuzi-slide kwenda juu
hata mi narecomend solution hii, toka ios 7 iphone wameenda mtindo wa android wa multitasking. hivyo app nyingi zinafanya kazi chini kwa chini inabidi uzifunge
Huwa nazifanya hvyo mara zote. Nahisi labda ni tatizo la betri. Nawaza nikabadili battery kwa fundi
Bulldog hapo kabadilishe battery maana hata mimi nilipokuwa natumia iPhone 5 baada ya kama mwaka hivi battery ikawa hadi 2-3 hrs of usage time pili kama upo na iOs 8 zima LTE maana inakuwa busy kuitafuta...