Iphone 5 16gb for sale!

Iphone 5 16gb for sale!

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
habari wana jf napenda kuwatangazia kua nauza iphone 5 ambayo nimeinunua mpya na nimeitumia wiki tatu tu haina mchubuko wowote na ipo ktk hali nzuri haina matatizo bei nataka mil 1.4 (1400,000/=) kwa mawasiliano 0712212220
Device type: Smart phone
OS: iOS (6)
Dimensions: 4.87 x 2.31 x 0.30 inches (123.8 x 58.6 x 7.6 mm)
Weight: 3.95 oz (112 g)
Memory : 16 GB
color: white
View attachment 78047
Na kwa usalama zaidi na kuondoa wasi wasi ni vyema nikakuuzia dukani kwangu!
 
ukifika kariakoo dsm mtaa wa msimbazi na agrey nipigie simu nipigie simu nikueleweshe ufike!
 
we unadhani tutakuja na hela mfukoni..au umepanga utuibie hv vimchina vyetu...haibiwi mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom