mkuu kwa hapa 2000000 vp?
Mimi ninayo original ila ya VERISON haina sim card,,, sooo mwenye kuihitaji aniambie tu nitamtumia
Du u mean 2m or 2k? If 2m sawa, 2k hapana
300,000 kama sawa ni pm
hyo verison ikoje tujitupe.
Dear all,
Kwa anayehitaji simu aina ya iphone 4s yenye iOS 7 kwa shilingi laki 3.5 ani PM kwa mawasiliano zaidi.
More specification waweza check kwa net.
Simu bado iko katika hali nzuri sna,
Unapata receipt na
Charger.
Kasoro Headphones tu
laki mbiliii faster
Wandugu simu bado iko sokoni