yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Apr 15, 2014 #1 Kwa wale walioko dar au hata wa mikoani km watakua interested, nauza iphone 4s imetumika few months kwa mwenye kuhitaji anichek kwa 0713 806 766. baadhi ya sifa zake; -nyeupe -16gb
Kwa wale walioko dar au hata wa mikoani km watakua interested, nauza iphone 4s imetumika few months kwa mwenye kuhitaji anichek kwa 0713 806 766. baadhi ya sifa zake; -nyeupe -16gb
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Apr 16, 2014 Thread starter #3 raky said: Weka bei Click to expand... kama mnunuzi namba hizo wasiliana na mimi, bei siwezi weka hapa nkaanza kupigizana kelele na watu ambao si hata wanunuzi....
raky said: Weka bei Click to expand... kama mnunuzi namba hizo wasiliana na mimi, bei siwezi weka hapa nkaanza kupigizana kelele na watu ambao si hata wanunuzi....
hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 Apr 16, 2014 #4 mbuzi kwenye gunia
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,368 Apr 16, 2014 #5 yaser said: kama mnunuzi namba hizo wasiliana na mimi, bei siwezi weka hapa nkaanza kupigizana kelele na watu ambao si hata wanunuzi.... Click to expand... jamii forums where we dare to bargain openly....
yaser said: kama mnunuzi namba hizo wasiliana na mimi, bei siwezi weka hapa nkaanza kupigizana kelele na watu ambao si hata wanunuzi.... Click to expand... jamii forums where we dare to bargain openly....
I imanihope JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 384 Reaction score 98 Apr 17, 2014 #6 weka picha,muongozo humu unatakaje?