Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 286
- 322
HAYA masimu IFIKE KIPINDI yashuke Bei HATA 400k MPAKA 500k nothing newBattery health 86% , Box lake na chaji unapata , Clean and Good condition Location Magomeni mapipa contact 0744 53 59 51
Hahah brand labda kaka Ila si unajua biashara za watu kwahyo lazma waweke bei juuHAYA masimu IFIKE KIPINDI yashuke Bei HATA 400k MPAKA 500k nothing new
HahahNgoja kwanza wale vijana wanaovaa vpensi vinavyoishia kwenye mapaja wakashikweshikwe then watakuchek tu watale iyo 1m
Wa pale.nini nini sijui PLAZA.pale.kariakoo eeNgoja kwanza wale vijana wanaovaa vpensi vinavyoishia kwenye mapaja wakashikweshikwe then watakuchek tu wataleta iyo 1m
Sema bei yako kaka biashara maelewanoHela nyingi sana hiyo acha tamaa.
Mwambie aje acheki mzigo