EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Nawasubiri hapa[emoji41]Ngoja mboga saba wenzaki waje
Waje tuNgoja waje..
Jaribu kama una access na hio simMmh sidhani
Find one and trySIO kwa note 8 hilo famba ni copy ya iphone 13 nenda ukursa wa sam misago insta anawapromote wale jamaa wanakwambia kabisa ni copy kwa 350k kuzidiwA Labda note 10 plus zile za 5G
Jiandae na vita maana umegusa penyeweWeekend iliyopita nlisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule, basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.
Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.
Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.
Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.
Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Weka picha hapa, mi setting za nini kwenye sm ua watuMzee utakua hujui setting za iphone pole sana, iphone kama huwezi itumia itakutesa tuachie watabe
NawajuaJiandae na vita maana umegusa penyewe
Hiyo note 8 ni utopolo hata kwa iphone x haifui dafu 😂😂😂wacha utani wewe na iphone 13 ilo ni famba labdaFind one and try
Najua mtabisha ila una iPhone hapo?Hiyo note 8 ni utopolo hata kwa iphone x haifui dafu [emoji23][emoji23][emoji23]wacha utani wewe na iphone 13 ilo ni famba labda
Hii picha nimepiga saivi saa2 usiku na note8 tena ni counter ya ndani hebu piga na wewe na hio iPhonexHiyo note 8 ni utopolo hata kwa iphone x haifui dafu [emoji23][emoji23][emoji23]wacha utani wewe na iphone 13 ilo ni famba labda
Najua mtabisha ila una iPhone hapo?
Piga picha saivi uweke hapa kama ushahidiNina picha za iPhone 13
Weee ile ni simu afu simu tena, mchawi setting nakwambia.