Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 18, 2016 #41 japo wanaomba lakini wameshikana kimkakati zaidi.........abiria chunga mzigo wako usimsubiri Mungu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 18, 2016 #42 Afande Fojuman said: mkuu una umri gani? Click to expand... unamuuliza umri ni heri muulize MIAKA YAKE
Afande Fojuman said: mkuu una umri gani? Click to expand... unamuuliza umri ni heri muulize MIAKA YAKE
T Tewe JF-Expert Member Joined Jan 11, 2008 Posts 1,101 Reaction score 813 Aug 18, 2016 #43 ndewelo said: Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais Click to expand... Ingependeza zaidi kama pia angeiachia democracy ifuate mkondo wake
ndewelo said: Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais Click to expand... Ingependeza zaidi kama pia angeiachia democracy ifuate mkondo wake
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,009 Aug 18, 2016 #44 BigBro said: View attachment 382677 Click to expand...
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Aug 18, 2016 #45 KikulachoChako said: Tafwadhali ndugu yule ni mama mtu mzima anaweza kuwa anaringana na mama yako mzazi mkuu.....mpe heshima yake ndugu..... Click to expand... kwani katukana?kuwa na chura hizo ni neema za allah,acha mihemko mkuuu!
KikulachoChako said: Tafwadhali ndugu yule ni mama mtu mzima anaweza kuwa anaringana na mama yako mzazi mkuu.....mpe heshima yake ndugu..... Click to expand... kwani katukana?kuwa na chura hizo ni neema za allah,acha mihemko mkuuu!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,765 Reaction score 39,525 Aug 18, 2016 #46 LUBEDE said: kwani katukana?kuwa na chura hizo ni neema za allah,acha mihemko mkuuu! Click to expand... Angekuwa yule ni mama yako mzazi wewe ungelifurahia jambo hilo kuwa mama kajaaliwa neema za Allah...!!!??
LUBEDE said: kwani katukana?kuwa na chura hizo ni neema za allah,acha mihemko mkuuu! Click to expand... Angekuwa yule ni mama yako mzazi wewe ungelifurahia jambo hilo kuwa mama kajaaliwa neema za Allah...!!!??
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Aug 18, 2016 #47 KikulachoChako said: Angekuwa yule ni mama yako mzazi wewe ungelifurahia jambo hilo kuwa mama kajaaliwa neema za Allah...!!!?? Click to expand... ndio mkuu
KikulachoChako said: Angekuwa yule ni mama yako mzazi wewe ungelifurahia jambo hilo kuwa mama kajaaliwa neema za Allah...!!!?? Click to expand... ndio mkuu
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,765 Reaction score 39,525 Aug 18, 2016 #48 LUBEDE said: ndio mkuu Click to expand... Basi mkuu.....uwe na siku njema sana...!!