Ipeni maneno picha hii

Hakuna anayetaka mke wake ashikwe na dume lingine
 
Huyo alopiga pasi hiyo suti hakuinyoosha na maji!! na moto wa ile pasi aliweka kidogo mno!!
 
Nani aliwapiga picha? maisha yamekuwa ya ajabu sana siku hizi wakati wengine wanafumba macho kusali kuna watu wamekodoa macho wanachukua picha!
 
Nipoiona hii picha nilikacheka na kujisemea kweli katika utawala wa magu hakunaga ushemeji..ukilenda ujinga kwamama.
 
"Hata akiwasalia.. Ngoja awasalie tu... mi bado nitatumbua tena hapa... safari hii nitatengua cheo cha mume wa nyumba hii na majukumu yake nikaimu mimi mwenyewe..."
 
Lemutuzz mbona simuoni si kwao hapo au yuko uani anatake selfie
 
Hivi lemutuz uyu baba yake mzazi kabisa au amekuwa adopted?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…