Ipeni maneno picha hii

Mhhhhhhhh huyo mweupe ni Mama Anne Kilango?
 
Wanamuombea Rais Magufuli kwani aliagiza aombewe!
 
Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais
 
Anataka kumrudisha Anne Kilango kwenye cheo fulani kama cha Lyatonga and the like
 
Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais
Mungu huchukizwa na sadaka/maombi ya wenye dhambi, labda kwa kutubu dhambi zao. Ud... U.c.h.wa.ra ni dhambi pia.
 
Jamani hii si ilipigwa marufuku kwenda kuwaona wagonjwa na kamera?
 
Mama Anne Kilango ana 'Chura' wa hatari.
 
Mzee alimwambia Magu yaani Kijana unampa tena kazi mama!! Yaan nianze kujipikia tena mwenyewe? Magu akafanya kweli tumbua Anna
 
Walikuwa wakikemea pepo la utumbuaji hata ivyo pepo liligoma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…