Ipe sentence picha hii

Jamaa anaongozwa na BASHITE kwa hiyo anataka WATOTO WA KIKE wote wawe kama MTOTO WAKE BASHITE


Swissme
Wewe naye acha chuki na viongozi wako, kama umekosa bahati basi lia na Mungu wako, sio kila kukicha we na bashite tu utadhani alikataa kukugegeda! We kwa Akili yako watoto wa kibongo uwaruhusu kusoma huku wanangonoka, unadhani darasa litatoa Elimu kweli? Na kama unawahurumia si ujenge shule binafsi kwa wazazi wote waliojazwa mimba shuleni! Sio kuharibu fedha za umma hapa!!
 
Hizi mvi za ukoo, nina miaka 35 tu siko tayari kuitwa babuuuuuu........
 
Mshezi sana wewe!!!!Kwani hujasikia agizo la Rais???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…