Ipe neno picha hii umejifunza nini

we we unaleta mada chokonozi ina maana Lowassa atakuwa rais wa tano? maana hapo hayupo to rais wa kwanza hayati mwl Nyerere.
 
Hawana pa kumkwepa safari hii,walimkwepa dodoma,sasa hawana ujanja maana wananchi ndo waamuzi na sio watu flani tu
 
Hapo kila mmoja anawaza lake kichwani....lakini Mwinyi naona anafikiria zaidi...sijui nn kitatokea October 25!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…