Ipe Neno Lolote Hii Picha

Mbona umenibania Mtandao pendwa(0713)sasa..?ungenipa iyo usingechafuka kichogo asee!!
 
Huyo anaimbisha wakati mtoto katoka kwenye tukio shamba la jirani.

Au ndiyo anamuuliza "baby ulikuwa wapi nimekusubiri sana na si kawaida yako kuchelewa", kumbe njiani alikutana na 'baharia' wake wa part-time wakapasha kiasi chao ndiyo akafika kwa 'mtarajiwa' wake.
Just thinking!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…