Ipe maneno

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Hawa kuna kitu wanateta, unafikiri mama na mwana wanaongea nini hapa
 

Attachments

  • 1424582486545.jpg
    36.8 KB · Views: 437
Mbea atakuwa ni mpiga picha na alie-publicise, hawa ni public figure lazima wajadiliwe, whether kwa mabaya au mazuri yao???
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Mbea atakuwa ni mpiga picha na alie-publicise, hawa ni public figure lazima wajadiliwe, whether kwa mabaya au mazuri yao???
FaizaFoxy

Mpiga picha kapiga, kamaliza kazi yake m'mbea ni yule aliyeileta picha hapa na kutaka kujuwa "Hawa kuna kitu wanateta, unafikiri mama na mwana wanaongea nini hapa" .

Sijuwi ni nani huyo?
 
Mpiga picha kapiga, kamaliza kazi yake m'mbea ni yule aliyeileta picha hapa na kutaka kujuwa "Hawa kuna kitu wanateta, unafikiri mama na mwana wanaongea nini hapa" .

Sijuwi ni nani huyo?

Mmmh aisee kazi ipo, ww ni mbishi kweli kweli mdogo wangu. Ungeolewa na mkurya cha moto ungekiona😕
 
FaizaFoxy hawa wajinga hawawezi kuacha ujinga. Hata hesabu zao ukipata asilimia 25 kwenye uchaguzi umeshinda na CCM wamekiona cha moto.
 
Ngarna kila binadamu ana ujinga kwa kiwango chake???
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia umbea ndiyo huu. Mambo ya mama na mwanawe yanakuhusu nini?

Dah! Ulivyokuja kwa kasi ya ajabu, hebu jiangalie usije ukawa umesahau kuvaa vya ndani! (upendo ni pamoja na kukumbushana vitu muhimu)
 
Mama yule mkuu wa wilaya si mchezo,ninataka kuweka mke wa pili pale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…