SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
MIZENGO: Nikinyoosha mimi sitaeleweka kwa wenzangu sasa wewe dogo nyoosha wakiuliza majibu ya kuwapa hayatakosa, si kama ambavyo ningenyoosha mimi
DOGO: wakiuliza utajibuje?
MIZENGO: Nitawaambia ulikuwa unasimulia jinsi walivyokuwa wanafanya kwenye video.
DOGO: Vidole oyeeeee
DOGO: wakiuliza utajibuje?
MIZENGO: Nitawaambia ulikuwa unasimulia jinsi walivyokuwa wanafanya kwenye video.
DOGO: Vidole oyeeeee