Ipe maneno

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Muheshimiwa PINDA akiwa na kadogo kamoja hivi
 

Attachments

  • PINDAA.jpg
    12.2 KB · Views: 305
Hata ukinibeba babu mimi ni........ We babu hebu angalia vidole hiv viwili........ Peopleeeeeeeez..........
Babu itikia poweeeeeerz basi.....
 
"Aghaaaah, mitoto mingine bwana pamoja na kulibeba bado tu linanionesha peoples power''
 
Huyo dogo ananikumbuka kipindi kile cha kampeni za uraisi ambapo yule jamaa aliyetaka kumwangusha Jakaya Kikwete kule MZA kwa kumshika miguu alipokuwa amebebwa juujuu na maaskari huku wakimpa kichapo lakini yeye hakusitisha zoezi lake la kuonyeshea vidole viwili. Yule jamaa ni wa kijijini kwetu in Tarime kwa jina namhifadhi na hata siku msafara wa Jakaya Kikwete ulipofika katika kijiji anakotoka yule jamaa gari la Jakaya Kikwete lilipata pancha. Yule msela alihukumiwa kunyea ndoo kwa muda wa miaka kumi hivyo bado ndoo haijajaa.
 

Kama sikosei kuna mtu alisema kuwa jamaaa alifariki akiwa jela. Sina uhakika na hili lakini yaweza kuwa kweli
 
Mtoto wa mkulima na mtoto mdogo!!
 
Jamani mbona huyo dogo anafanana na Kagasheki sana? au macho yangu? MANI naomba niletee miwani yangu uje uione na wewe hii picha ya Dogo
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona huyo dogo anafanana na Kagasheki sana? au macho yangu? MANI naomba niletee miwani yangu uje uione na wewe hii picha ya Dogo

Wala huhitaji miwani mpwa uko sahihi!
 
nimeuona mkuu...mambo ya CDM sio, bahati mbaya mimi sio muumini wa Politics
Ndiyo maana ukushitukia kabisa kwa hilo,kwa sisi wanasiasa tulikimbilia hilo kwa sababu linavuta hisia zetu kwa kiasi kikubwa!
 
Kama sikosei kuna mtu alisema kuwa jamaaa alifariki akiwa jela. Sina uhakika na hili lakini yaweza kuwa kweli

Uzushi tu jamaa bado yupo na mke wake angali anamsubiria tungeshasikia hizo habari na hata kipindi kile amefanya hayo madudu baba yake alikuwa Mwenyekiti wa kijiji
 
Kama sikosei kuna mtu alisema kuwa jamaaa alifariki akiwa jela. Sina uhakika na hili lakini yaweza kuwa kweli
kama kweli alifariki basi walimfarikisha maana ndio zao,asipokuwa kichaa basi anakufa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…