aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Jul 20, 2016 #2 ndio maana nimeamua kung`atuka.......
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jul 20, 2016 #3 Hapo wanajiandaa kumtahiri tembo, kisha asafirishwe hadi dubai.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jul 22, 2016 #4 Kinana
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Jul 24, 2016 #5 Ni wale wale wamekula mahindi yangu acha wafe
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Jul 24, 2016 #6 Tushukuru hakuna kifaa cha kuingoa TZ na kuipakia hadi sehemu nyengine
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jul 24, 2016 #7 Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana Habari zinasema, โuamuzi wa kumbakisha Kinana kwenye nafasi yake, haukuwa wa Magufuli. Ni shinikizo la viongozi wakuu wa CCM wakiongozwa na Benjamin Mkapa,โ anaeleza mmoja wa viongozi wandamizi wa chama hicho.
Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana Habari zinasema, โuamuzi wa kumbakisha Kinana kwenye nafasi yake, haukuwa wa Magufuli. Ni shinikizo la viongozi wakuu wa CCM wakiongozwa na Benjamin Mkapa,โ anaeleza mmoja wa viongozi wandamizi wa chama hicho.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Jul 25, 2016 #8 aikaruwa1983 said: ndio maana nimeamua kung`atuka....... Click to expand... Amebadilishia gia angani