Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Kwanini Mkuu nimekutia simanzi?Leo ni siku ya huzuni kwangu. Umenitia simanzi
Nawawazia hao makinda na ukizingatia hata sisi binadamu tuna watotoKwanini Mkuu nimekutia simanzi?
inasikitisha sana daaUshamtoa roho mama yao mzazi, ila kwakua watoto ni wadogo kwa ufahamu wanajua amelala tu, wanasubiri mama aamke wanede kutafuta chakula kisha wakapumzike... Kuna baadhi ya watu wapo tayari watoe na kuwapoteza watu wenye familia zao, kisa tu hawawaungi mkono. Mungu atuongoze.View attachment 1215796
Apparently yeah...Nimejikuta najiuliza tu kwani ili sisi binadamu tuishi ni lazima tuwakule viumbe wenzetu? kama kuku, mbuzi and alike