Ipe maneno picha yangu ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,297
33,082
HATARI SANA.jpg
 
Ushamtoa roho mama yao mzazi, ila kwakua watoto ni wadogo kwa ufahamu wanajua amelala tu, wanasubiri mama aamke waende kutafuta chakula kisha wakapumzike... Kuna baadhi ya watu wapo tayari watoe na kuwapoteza watu wenye familia zao, kisa tu hawawaungi mkono. Mungu atuongoze.
20190910_101421.jpeg
 
Nimejikuta najiuliza tu kwani ili sisi binadamu tuishi ni lazima tuwakule viumbe wenzetu? kama kuku, mbuzi and alike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom