Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Teh teh teh!huu ndiyo wakati muafaka wakuwapa wapenzi wetu majukumu mazito (Mimba)!
Mkuu wewe hatima yako unaijua?teh teh teh wengine huishia huku
![]()
![]()
![]()
jehanam
Upo sahihi sana mkuu!​Kutesa kwa zamu!
Teh teh teh!hii inawasumbua sana wanafunzi!utamu wa chips kuku,mimba.
Tunasubiri Serikali yetu iitambue kama siku ya mapumziko!14th event
Kwahiyo leo guest house zitakuwa zimejaa?14-feb-wanawahi nafasi guest house
14nov-anamkimbiza leba...water broken
Hili halina ubishi mkuu!Kha ha ha ha ha haaaaaa! Ukipanda maharage usitegemee kuvuna mahindi.
Wenyewe wanasemaga ajali kazini!Hehehehe alijua hakuna kitakachotokea?