Ipe maneno picha yangu hii

Huenda kuna maonesha ya umiss hapa, namuona paka anapita kwa madaha ya hali ya juu
 
hao mbwa wana issue yao nyingine tu wala hawako hapo kwa ajili ya huyo nyau
 
mkuu mzizimkavu hao mbwa wakiamua kumrarua ni sekunde.
 
Hamna lolote,, nyie ni sawa na cdm mbwembwe nyingi ila mnaishia kapa.
 
Naona hao mbwa kama ni maafisa police wa uwanja wa ndege wa China vile.....wakishangaa mtuhumiwa wao waliemkamata na sembe.....akisepa na kurudi zake Tanzania taaartiiibu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…