Ipe maneno picha hii

Ipe maneno picha hii

attachment.php

Baba Nimekuambia Acha Kuniomba Hela Kwani Mimi Mwenyewe Tu Hapa Muda Wowote Ule Naweza Kwenda Kuicheza EKOKITEE SELFIE Ya Koffi Olomide SEGADANSI Segerea au Ukonga Kwani Magufuli Kama Simwelewi Hivi!
 
Anampiga babu mzinga: "Una buku hapo ntakurudishia sasa hivi"
 
Tulia wwe me ndo mwenye nchi na utashindia mahindi mabichi hadi ufe
 
mzee pole sana mie la kwangu nilienda kulipasua India, lakini la kwako utapata dr hapa bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom