kingfish JF-Expert Member Apr 15, 2011 571 159 May 8, 2012 #1 Ni akina nani hawa?wanaongea nini? Attachments rz.jpg 21.1 KB · Views: 118
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 May 8, 2012 #2 kingfish said: Ni akina nani hawa?wanaongea nini? Click to expand... Maneno gani unataka??? Hapa wako ikulu karibu na soko la samaki wanapanga kununua kingfish.... Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood morning
kingfish said: Ni akina nani hawa?wanaongea nini? Click to expand... Maneno gani unataka??? Hapa wako ikulu karibu na soko la samaki wanapanga kununua kingfish.... Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood morning
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 May 8, 2012 #3 Mmoja ni Liz 1 huyo mwingine simjui naona jamaa anamwambia ongea na Mshua
Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 May 8, 2012 #4 Amini usiamini malinzi 2015 narithi ufalme na kama utaniunga mkono nakupa uwaziri wa michezo....
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 May 9, 2012 #5 Mkirua said: Amini usiamini malinzi 2015 narithi ufalme na kama utaniunga mkono nakupa uwaziri wa michezo.... Click to expand... Atarithi Ufalme Bagamoyo....sio Tanganyika!!
Mkirua said: Amini usiamini malinzi 2015 narithi ufalme na kama utaniunga mkono nakupa uwaziri wa michezo.... Click to expand... Atarithi Ufalme Bagamoyo....sio Tanganyika!!
ikizu JF-Expert Member Oct 26, 2011 431 56 May 9, 2012 #6 poa nami nimeona nafikiri wanateta mambo ya Yanga