Ipe maneno picha hii

Alovaa cap nahc ni my father Jk aka Jembe langu.
 
"oyaah fanya basi unipe yale macontact"
 
Hii ni Bendera ya Botswana kwa wazee wa Makhirikhiri!
 

Mwanaume Mwanaume Tu Macho straight kwenye kivua na mawazo juu...mtoto anajisemesha mkulu yuko mbali....
anajiwazi uraisi huu...ningekuwa bado waziri......................................
 
kesho kutwa utasikia anataka kuoa botswana,jamaa hazeeki tuu??
 
hapo ni botswana kwel? mbona namwona mrema kwa nyuma?
 
He is usually relaxed and comfortable amongst women; wanaume wenzie anawaogopa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…