Ipe maneno picha hii

hiii kali, inaonyesha power of a woman, jamaa kasimamishwa uchi mtaani mchana kweupeeeeeee
 
Mwanamke huyu hana hurumu kabisa!jamaa na mpini wake barabarani mchana kweupe!
 
Dunia na mambo yake,ukifumaniwa nguvu zote kwisha!
 
Huyo atakuwa kafumaniwa. na jamaa nadhani ndio yupo kwenye harakati za kuomba asemehewe.
 
umelala wapi mume wangu,mbona unaniaibisha
 
Yawezekana jamaa alikuwa anafanya mapenzi porini mwizi akaiba nguo zote akamwachia chupi tu
 
Duniani kuna mambo, angemstiri kidogo maana aibu ni yao wote sasa.
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mambo siyo mambo afu hakuna anaejishtukia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…