Ipe maneno hii picha.

Ipe maneno hii picha.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1439494390.059872.jpg
 
alikuwa anapiga picha msafara wa mh rais Edward ngoyai lowasa
 
mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake alipoamua kuhatarisha maisha yake kwa kuamua kujitokeza katika dirisha ya jengo refu ili kuwahi kuwapiga picha panya road wa kisiasa waliokuwa wakizurura hovyo hovyo kutoka buguruni kuelekea posta na hatimaye kumalizia kinondoni manyanya mapema wiki hii ( picha na cleverbright wa jf ).
 
Umejitahidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom