Ipe Maneno hii Picha....

Ipe Maneno hii Picha....

10377357_1392934787674025_932221096603339561_n.jpg

Ndondi zinalipa sana! ila ukazicheze USA sio diamond jubilee!!
 
Kama ni mmbongo, basi ametoka kulipwa mauzo ya unga (madawa ya kulevya) maana kwa biashara zetu zilivyo hakuna namna unaweza kubeba cash ya dolla nyingi kiasi hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom