Ipe maneno hii picha!

Ipe maneno hii picha!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
EAC.jpg
Kuna nini unaona katika hii picha???
 
Naona Museveni anawasanifu hao viongozi, huku Kagame na Kikwete wakichekeana kijino pembe kila mmoja akimlaani mwenziwe.
 
huyo aliyekaa na kuchra nne anawasanifu wengine hana habari kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom