Watu wanaolima au kupanda miti huku wamepiga magoti kwenye mkeka wananikera sana! Unaenda kwenye shughuli za udongo kufanya nini kama unajua umevaa suti usiyotaka ichafuke? Tangu lini koleo/chepe ikatumika kulimia? Mh! badala ya kupanda mti anajenga mti.