Ipe maneno hii picha

Ipe maneno hii picha

Lyangalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2009
Posts
679
Reaction score
236
check.jpg
Toa mchango wako hapa
 
Wa kishua zaidi, ukisikia maisha ya digital ndo hayo!
 
kilimo kipya(ICT) Jembe lipya(laptops) na mbolea mpya(wireless internet).....shamba ndo la zamani.
 
Tanzania niitakayo hiyo.

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
 
Mbona ni kama familia ya akina Rostam Azizi? Ama nimefananisha vibaya. Hapo hakuna familia.
 
Baba yupo jukwaa la siasa, Mama yupo jukwaa la MMU, Dogo yupo jukwaa la Jokes, Gossip
 
log in with your password to access the breakfast
 
huyo wa katikati yupo buz na facebook anachat na watu...............sound nyiingi atakua anasema anafanya kazi mijitu ina amini tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom