Ipe maneno hii picha

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
13407063_1151129501584136_6855818661445953803_n.jpg
 
Their day will come, if not now, soon, one day. Hakuna kisichokuwa na mwisho. Tumeona na kujifunza kutoka mataifa yaliyotutangulia. Wenzetu walimwaga damu lakini hapa hawa watatumia ujumbe na matendo badala ya kumwaga damu. Natamani ningekuwa mwanachama wa ukawa lakini kule kulazimishwa kujiunga na TYL na TANU baadaye CCM ili nisome na nipate kazi kilinifanya niachane na vyama vya siasa. Sitaki sitaki na sitaki mimi. Naona Heri tuwe na mfalme tujue kuna wafalme kuliko kudanganya umma eti oho tuna mfumo wa vyama vingi. Mtajiju mimi nasepaaaa.
 
Walishindana kwa hoja,wakashinda na kwenda mahala pa kazi,tuliowapeleka tulifurahi,leo wanaziba mdomo bila ruhusa yetu tena tufurahi??ni ajabu.hapo ni mahala pa kuendelea kusemezana na siyo mahala pa kuziba kinywa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom